Native Bible

Psalms 50:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unapomwona mwizi, unaungana naye, unapiga kura yako pamoja na wazinzi.

Psalms 50:18 in English

Psalms 50:18 · Berean Standard Bible

When you see a thief, you befriend him, and throw in your lot with adulterers.

Context

16Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: “Una haki gani kunena sheria zangu au kuchukua agano langu midomoni mwako? 17Unachukia mafundisho yangu na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. 18Unapomwona mwizi, unaungana naye, unapiga kura yako pamoja na wazinzi. 19Unakitumia kinywa chako kwa mabaya na kuuongoza ulimi wako kwa hila. 20Wanena daima dhidi ya ndugu yako na kumsingizia mwana wa mama yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.