Native Bible

Psalms 50:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: “Una haki gani kunena sheria zangu au kuchukua agano langu midomoni mwako?

Psalms 50:16 in English

Psalms 50:16 · Berean Standard Bible

To the wicked, however, God says, “What right have you to recite My statutes and to bear My covenant on your lips?

Context

14Toa sadaka za shukrani kwa Mungu, timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana, 15na uniite siku ya taabu; nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.” 16Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: “Una haki gani kunena sheria zangu au kuchukua agano langu midomoni mwako? 17Unachukia mafundisho yangu na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. 18Unapomwona mwizi, unaungana naye, unapiga kura yako pamoja na wazinzi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.