Zaburi 50:15
Psalms 50:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na uniite siku ya taabu; nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Psalms 50:15 in English
Psalms 50:15 · Berean Standard Bible
Call upon Me in the day of trouble; I will deliver you, and you will honor Me.”
Context
13Je, mimi hula nyama ya mafahali
au kunywa damu ya mbuzi? 14Toa sadaka za shukrani kwa Mungu,
timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana, 15na uniite siku ya taabu;
nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.” 16Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema:
“Una haki gani kunena sheria zangu
au kuchukua agano langu midomoni mwako? 17Unachukia mafundisho yangu
na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.