Native Bible

Psalms 50:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, mimi hula nyama ya mafahali au kunywa damu ya mbuzi?

Psalms 50:13 in English

Psalms 50:13 · Berean Standard Bible

Do I eat the flesh of bulls, or drink the blood of goats?

Context

11Ninamjua kila ndege mlimani, nao viumbe wa kondeni ni wangu. 12Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi, kwa maana ulimwengu ni wangu, pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. 13Je, mimi hula nyama ya mafahali au kunywa damu ya mbuzi? 14Toa sadaka za shukrani kwa Mungu, timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana, 15na uniite siku ya taabu; nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.