Native Bible

Psalms 50:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninamjua kila ndege mlimani, nao viumbe wa kondeni ni wangu.

Psalms 50:11 in English

Psalms 50:11 · Berean Standard Bible

I know every bird in the mountains, and the creatures of the field are Mine.

Context

9Sina haja ya fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako. 10Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu. 11Ninamjua kila ndege mlimani, nao viumbe wa kondeni ni wangu. 12Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi, kwa maana ulimwengu ni wangu, pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. 13Je, mimi hula nyama ya mafahali au kunywa damu ya mbuzi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.