Native Bible

Psalms 50:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sina haja ya fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako.

Psalms 50:9 in English

Psalms 50:9 · Berean Standard Bible

I have no need for a bull from your stall or goats from your pens,

Context

7“Sikieni, enyi watu wangu, nami nitasema, ee Israeli, nami nitashuhudia dhidi yenu: Mimi ndimi Mungu, Mungu wenu. 8Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako, au sadaka zako za kuteketezwa, ambazo daima ziko mbele zangu. 9Sina haja ya fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako. 10Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu. 11Ninamjua kila ndege mlimani, nao viumbe wa kondeni ni wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.