Native Bible

Psalms 50:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako, au sadaka zako za kuteketezwa, ambazo daima ziko mbele zangu.

Psalms 50:8 in English

Psalms 50:8 · Berean Standard Bible

I do not rebuke you for your sacrifices, and your burnt offerings are ever before Me.

Context

6Nazo mbingu zinatangaza haki yake, kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu. 7“Sikieni, enyi watu wangu, nami nitasema, ee Israeli, nami nitashuhudia dhidi yenu: Mimi ndimi Mungu, Mungu wenu. 8Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako, au sadaka zako za kuteketezwa, ambazo daima ziko mbele zangu. 9Sina haja ya fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako. 10Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.