Zaburi 50:6
Psalms 50:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nazo mbingu zinatangaza haki yake, kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu.
Psalms 50:6 in English
Psalms 50:6 · Berean Standard Bible
And the heavens proclaim His righteousness, for God Himself is Judge.* Selah
Context
4Anaziita mbingu zilizo juu,
na nchi, ili aweze kuwahukumu watu wake: 5“Nikusanyieni watu wangu waliowekwa wakfu,
waliofanya agano nami kwa dhabihu.” 6Nazo mbingu zinatangaza haki yake,
kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu. 7“Sikieni, enyi watu wangu, nami nitasema,
ee Israeli, nami nitashuhudia dhidi yenu:
Mimi ndimi Mungu, Mungu wenu. 8Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako,
au sadaka zako za kuteketezwa,
ambazo daima ziko mbele zangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.