Native Bible

Psalms 50:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anaziita mbingu zilizo juu, na nchi, ili aweze kuwahukumu watu wake:

Psalms 50:4 in English

Psalms 50:4 · Berean Standard Bible

He summons the heavens above, and the earth, that He may judge His people:

Context

2Kutoka Sayuni, penye uzuri mkamilifu, Mungu anaangaza. 3Mungu wetu anakuja na hatakaa kimya, moto uteketezao unamtangulia, akiwa amezungukwa na tufani kali. 4Anaziita mbingu zilizo juu, na nchi, ili aweze kuwahukumu watu wake: 5“Nikusanyieni watu wangu waliowekwa wakfu, waliofanya agano nami kwa dhabihu.” 6Nazo mbingu zinatangaza haki yake, kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.