Zaburi 50:10
Psalms 50:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu.
Psalms 50:10 in English
Psalms 50:10 · Berean Standard Bible
for every beast of the forest is Mine— the cattle on a thousand hills.
Context
8Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako,
au sadaka zako za kuteketezwa,
ambazo daima ziko mbele zangu. 9Sina haja ya fahali wa banda lako,
au mbuzi wa zizi lako. 10Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu,
na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu. 11Ninamjua kila ndege mlimani,
nao viumbe wa kondeni ni wangu. 12Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi,
kwa maana ulimwengu ni wangu,
pamoja na vyote vilivyomo ndani yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.