Native Bible

Psalms 50:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unachukia mafundisho yangu na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.

Psalms 50:17 in English

Psalms 50:17 · Berean Standard Bible

For you hate My instruction and cast My words behind you.

Context

15na uniite siku ya taabu; nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.” 16Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: “Una haki gani kunena sheria zangu au kuchukua agano langu midomoni mwako? 17Unachukia mafundisho yangu na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. 18Unapomwona mwizi, unaungana naye, unapiga kura yako pamoja na wazinzi. 19Unakitumia kinywa chako kwa mabaya na kuuongoza ulimi wako kwa hila.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.