Zaburi 50:19
Psalms 50:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Unakitumia kinywa chako kwa mabaya na kuuongoza ulimi wako kwa hila.
Psalms 50:19 in English
Psalms 50:19 · Berean Standard Bible
You unleash your mouth for evil and unharness your tongue for deceit.
Context
17Unachukia mafundisho yangu
na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. 18Unapomwona mwizi, unaungana naye,
unapiga kura yako pamoja na wazinzi. 19Unakitumia kinywa chako kwa mabaya
na kuuongoza ulimi wako kwa hila. 20Wanena daima dhidi ya ndugu yako
na kumsingizia mwana wa mama yako. 21Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya,
ukafikiri Mimi nami ni kama wewe.
Lakini nitakukemea
na kuweka mashtaka mbele yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.