Native Bible

Psalms 50:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanena daima dhidi ya ndugu yako na kumsingizia mwana wa mama yako.

Psalms 50:20 in English

Psalms 50:20 · Berean Standard Bible

You sit and malign your brother; you slander your own mother’s son.

Context

18Unapomwona mwizi, unaungana naye, unapiga kura yako pamoja na wazinzi. 19Unakitumia kinywa chako kwa mabaya na kuuongoza ulimi wako kwa hila. 20Wanena daima dhidi ya ndugu yako na kumsingizia mwana wa mama yako. 21Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya, ukafikiri Mimi nami ni kama wewe. Lakini nitakukemea na kuweka mashtaka mbele yako. 22“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, ama sivyo nitawararua vipande vipande, wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.