Zaburi 50:22
Psalms 50:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, ama sivyo nitawararua vipande vipande, wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa:
Psalms 50:22 in English
Psalms 50:22 · Berean Standard Bible
Now consider this, you who forget God, lest I tear you to pieces, with no one to rescue you:
Context
20Wanena daima dhidi ya ndugu yako
na kumsingizia mwana wa mama yako. 21Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya,
ukafikiri Mimi nami ni kama wewe.
Lakini nitakukemea
na kuweka mashtaka mbele yako. 22“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu,
ama sivyo nitawararua vipande vipande,
wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa: 23Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi,
naye aiandaa njia yake
ili nimwonyeshe wokovu wa Mungu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.