Native Bible

Psalms 49:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye.

Psalms 49:17 in English

Psalms 49:17 · Berean Standard Bible

For when he dies, he will carry nothing away; his abundance will not follow him down.

Context

15Lakini Mungu atakomboa uhai* wangu na kaburi, hakika atanichukua kwake. 16Usitishwe mtu anapotajirika, fahari ya nyumba yake inapoongezeka, 17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye. 18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa, 19atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.