Native Bible

Psalms 49:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Mungu atakomboa uhai* wangu na kaburi, hakika atanichukua kwake.

Psalms 49:15 in English

Psalms 49:15 · Berean Standard Bible

But God will redeem my life from Sheol, for He will surely take me to Himself. Selah

Context

13Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao. 14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini,* nacho kifo kitawala. Wanyofu watawatawala asubuhi, maumbile yao yataozea kaburini, mbali na majumba yao makubwa ya fahari. 15Lakini Mungu atakomboa uhai* wangu na kaburi, hakika atanichukua kwake. 16Usitishwe mtu anapotajirika, fahari ya nyumba yake inapoongezeka, 17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.