Zaburi 49:14
Psalms 49:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini,* nacho kifo kitawala. Wanyofu watawatawala asubuhi, maumbile yao yataozea kaburini, mbali na majumba yao makubwa ya fahari.
Psalms 49:14 in English
Psalms 49:14 · Berean Standard Bible
Like sheep they are destined for Sheol. Death will be their shepherd. The upright will rule them in the morning, and their form will decay in Sheol, far from their lofty abode.
Context
12Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu;
anafanana na mnyama aangamiaye. 13Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe,
pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao. 14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini,*
nacho kifo kitawala.
Wanyofu watawatawala asubuhi,
maumbile yao yataozea kaburini,
mbali na majumba yao makubwa ya fahari. 15Lakini Mungu atakomboa uhai* wangu na kaburi,
hakika atanichukua kwake. 16Usitishwe mtu anapotajirika,
fahari ya nyumba yake inapoongezeka,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.