Native Bible

Psalms 49:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu; anafanana na mnyama aangamiaye.

Psalms 49:12 in English

Psalms 49:12 · Berean Standard Bible

But a man, despite his wealth, cannot endure; he is like the beasts that perish.

Context

10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia na kuwaachia wengine mali zao. 11Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, makao yao vizazi vyote; ingawa walikuwa na mashamba na kuyaita kwa majina yao. 12Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu; anafanana na mnyama aangamiaye. 13Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao. 14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini,* nacho kifo kitawala. Wanyofu watawatawala asubuhi, maumbile yao yataozea kaburini, mbali na majumba yao makubwa ya fahari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.