Native Bible

Psalms 49:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, makao yao vizazi vyote; ingawa walikuwa na mashamba na kuyaita kwa majina yao.

Psalms 49:11 in English

Psalms 49:11 · Berean Standard Bible

Their graves * are their eternal homes— their dwellings for endless generations— even though their lands were their namesakes.

Context

9ili kwamba aishi milele na asione uharibifu. 10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia na kuwaachia wengine mali zao. 11Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, makao yao vizazi vyote; ingawa walikuwa na mashamba na kuyaita kwa majina yao. 12Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu; anafanana na mnyama aangamiaye. 13Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.