Native Bible

Psalms 49:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili kwamba aishi milele na asione uharibifu.

Psalms 49:9 in English

Psalms 49:9 · Berean Standard Bible

that he should live on forever and not see decay.

Context

7Hakuna mwanadamu awaye yote awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. 8Fidia ya uhai ni gharama kubwa, hakuna malipo yoyote yanayotosha, 9ili kwamba aishi milele na asione uharibifu. 10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia na kuwaachia wengine mali zao. 11Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, makao yao vizazi vyote; ingawa walikuwa na mashamba na kuyaita kwa majina yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.