Native Bible

Psalms 49:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Fidia ya uhai ni gharama kubwa, hakuna malipo yoyote yanayotosha,

Psalms 49:8 in English

Psalms 49:8 · Berean Standard Bible

For the redemption of his soul is costly, and never can payment suffice,

Context

6wale wanaotegemea mali zao na kujivunia utajiri wao mwingi? 7Hakuna mwanadamu awaye yote awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. 8Fidia ya uhai ni gharama kubwa, hakuna malipo yoyote yanayotosha, 9ili kwamba aishi milele na asione uharibifu. 10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia na kuwaachia wengine mali zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.