Zaburi 49:6
Psalms 49:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wale wanaotegemea mali zao na kujivunia utajiri wao mwingi?
Psalms 49:6 in English
Psalms 49:6 · Berean Standard Bible
They trust in their wealth and boast in their great riches.
Context
4Nitatega sikio langu nisikilize mithali,
nitafafanua kitendawili kwa zeze: 5Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja,
wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka, 6wale wanaotegemea mali zao
na kujivunia utajiri wao mwingi? 7Hakuna mwanadamu awaye yote
awezaye kuukomboa uhai wa mwingine,
au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. 8Fidia ya uhai ni gharama kubwa,
hakuna malipo yoyote yanayotosha,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.