Native Bible

Psalms 49:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitatega sikio langu nisikilize mithali, nitafafanua kitendawili kwa zeze:

Psalms 49:4 in English

Psalms 49:4 · Berean Standard Bible

I will incline my ear to a proverb; I will express my riddle with the harp:

Context

2Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja: 3Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu. 4Nitatega sikio langu nisikilize mithali, nitafafanua kitendawili kwa zeze: 5Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka, 6wale wanaotegemea mali zao na kujivunia utajiri wao mwingi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.