Native Bible

Psalms 49:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja:

Psalms 49:2 in English

Psalms 49:2 · Berean Standard Bible

both low and high, rich and poor alike.

Context

1Sikieni haya, enyi mataifa yote, sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 2Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja: 3Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu. 4Nitatega sikio langu nisikilize mithali, nitafafanua kitendawili kwa zeze:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.