Native Bible

Psalms 49:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikieni haya, enyi mataifa yote, sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii.

Psalms 49:1 in English

Psalms 49:1 · Berean Standard Bible

Hear this, all you peoples; listen, all inhabitants of the world,

Context

1Sikieni haya, enyi mataifa yote, sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 2Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja: 3Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.