Zaburi 49:3
Psalms 49:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu.
Psalms 49:3 in English
Psalms 49:3 · Berean Standard Bible
My mouth will impart wisdom, and the meditation of my heart will bring understanding.
Context
1Sikieni haya, enyi mataifa yote,
sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 2Wakubwa kwa wadogo,
matajiri na maskini pamoja: 3Kinywa changu kitasema maneno ya hekima,
usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu. 4Nitatega sikio langu nisikilize mithali,
nitafafanua kitendawili kwa zeze: 5Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja,
wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.