Native Bible

Psalms 49:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usitishwe mtu anapotajirika, fahari ya nyumba yake inapoongezeka,

Psalms 49:16 in English

Psalms 49:16 · Berean Standard Bible

Do not be amazed when a man grows rich, when the splendor of his house increases.

Context

14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini,* nacho kifo kitawala. Wanyofu watawatawala asubuhi, maumbile yao yataozea kaburini, mbali na majumba yao makubwa ya fahari. 15Lakini Mungu atakomboa uhai* wangu na kaburi, hakika atanichukua kwake. 16Usitishwe mtu anapotajirika, fahari ya nyumba yake inapoongezeka, 17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye. 18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.