Zaburi 49:18
Psalms 49:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa,
Psalms 49:18 in English
Psalms 49:18 · Berean Standard Bible
Though in his lifetime he blesses his soul— and men praise you when you prosper—
Context
16Usitishwe mtu anapotajirika,
fahari ya nyumba yake inapoongezeka, 17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa,
fahari yake haitashuka pamoja naye. 18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri,
na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa, 19atajiunga na kizazi cha baba zake,
ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. 20Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu
ni kama wanyama waangamiao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.