Native Bible

Psalms 49:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima.

Psalms 49:19 in English

Psalms 49:19 · Berean Standard Bible

he will join the generation of his fathers, who will never see the light of day.

Context

17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye. 18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa, 19atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. 20Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu ni kama wanyama waangamiao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.