Native Bible

Psalms 49:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu ni kama wanyama waangamiao.

Psalms 49:20 in English

Psalms 49:20 · Berean Standard Bible

A man who has riches without understanding is like the beasts that perish.

Context

18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa, 19atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. 20Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu ni kama wanyama waangamiao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.