Native Bible

Psalms 48:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati wafalme walipounganisha nguvu, waliposonga mbele pamoja,

Psalms 48:4 in English

Psalms 48:4 · Berean Standard Bible

For behold, the kings assembled; they all advanced together.

Context

2Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana, furaha ya dunia yote. Kama vilele vya juu sana vya Safoni* ni Mlima Sayuni, mji wa Mfalme Mkuu. 3Mungu yuko katika ngome zake; amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake. 4Wakati wafalme walipounganisha nguvu, waliposonga mbele pamoja, 5walimwona nao wakashangaa, wakakimbia kwa hofu. 6Kutetemeka kuliwashika huko, maumivu kama ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.