Native Bible

Psalms 48:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu yuko katika ngome zake; amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake.

Psalms 48:3 in English

Psalms 48:3 · Berean Standard Bible

God is in her citadels; He has shown Himself to be a fortress.

Context

1Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu. 2Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana, furaha ya dunia yote. Kama vilele vya juu sana vya Safoni* ni Mlima Sayuni, mji wa Mfalme Mkuu. 3Mungu yuko katika ngome zake; amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake. 4Wakati wafalme walipounganisha nguvu, waliposonga mbele pamoja, 5walimwona nao wakashangaa, wakakimbia kwa hofu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.