Native Bible

Psalms 48:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu.

Psalms 48:1 in English

Psalms 48:1 · Berean Standard Bible

Great is the LORD, and greatly to be praised in the city of our God, His holy mountain.

Context

1Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu. 2Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana, furaha ya dunia yote. Kama vilele vya juu sana vya Safoni* ni Mlima Sayuni, mji wa Mfalme Mkuu. 3Mungu yuko katika ngome zake; amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.