Native Bible

Psalms 48:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana, furaha ya dunia yote. Kama vilele vya juu sana vya Safoni* ni Mlima Sayuni, mji wa Mfalme Mkuu.

Psalms 48:2 in English

Psalms 48:2 · Berean Standard Bible

Beautiful in loftiness, the joy of all the earth, like the peaks of Zaphon * is Mount Zion, the city of the great King.

Context

1Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu. 2Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana, furaha ya dunia yote. Kama vilele vya juu sana vya Safoni* ni Mlima Sayuni, mji wa Mfalme Mkuu. 3Mungu yuko katika ngome zake; amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake. 4Wakati wafalme walipounganisha nguvu, waliposonga mbele pamoja,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.