Zaburi 48:5
Psalms 48:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
walimwona nao wakashangaa, wakakimbia kwa hofu.
Psalms 48:5 in English
Psalms 48:5 · Berean Standard Bible
They saw and were astounded; they fled in terror.
Context
3Mungu yuko katika ngome zake;
amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake. 4Wakati wafalme walipounganisha nguvu,
waliposonga mbele pamoja, 5walimwona nao wakashangaa,
wakakimbia kwa hofu. 6Kutetemeka kuliwashika huko,
maumivu kama ya mwanamke
mwenye utungu wa kuzaa. 7Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi
zilizovunjwa na upepo wa mashariki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.