Native Bible

Psalms 48:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutetemeka kuliwashika huko, maumivu kama ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa.

Psalms 48:6 in English

Psalms 48:6 · Berean Standard Bible

Trembling seized them there, anguish like a woman in labor.

Context

4Wakati wafalme walipounganisha nguvu, waliposonga mbele pamoja, 5walimwona nao wakashangaa, wakakimbia kwa hofu. 6Kutetemeka kuliwashika huko, maumivu kama ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa. 7Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi zilizovunjwa na upepo wa mashariki. 8Kama tulivyokuwa tumesikia, ndivyo tulivyoona katika mji wa Bwana Mwenye Nguvu Zote, katika mji wa Mungu wetu: Mungu ataufanya uwe salama milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.