Native Bible

Psalms 48:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama tulivyokuwa tumesikia, ndivyo tulivyoona katika mji wa Bwana Mwenye Nguvu Zote, katika mji wa Mungu wetu: Mungu ataufanya uwe salama milele.

Psalms 48:8 in English

Psalms 48:8 · Berean Standard Bible

As we have heard, so we have seen in the city of the LORD of Hosts, in the city of our God: God will establish her forever. Selah

Context

6Kutetemeka kuliwashika huko, maumivu kama ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa. 7Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi zilizovunjwa na upepo wa mashariki. 8Kama tulivyokuwa tumesikia, ndivyo tulivyoona katika mji wa Bwana Mwenye Nguvu Zote, katika mji wa Mungu wetu: Mungu ataufanya uwe salama milele. 9Ee Mungu, hekaluni mwako tunatafakari upendo wako usiokoma. 10Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, mkono wako wa kuume umejazwa na haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.