Native Bible

Psalms 48:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, mkono wako wa kuume umejazwa na haki.

Psalms 48:10 in English

Psalms 48:10 · Berean Standard Bible

Your name, O God, like Your praise, reaches to the ends of the earth; Your right hand is full of righteousness.

Context

8Kama tulivyokuwa tumesikia, ndivyo tulivyoona katika mji wa Bwana Mwenye Nguvu Zote, katika mji wa Mungu wetu: Mungu ataufanya uwe salama milele. 9Ee Mungu, hekaluni mwako tunatafakari upendo wako usiokoma. 10Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, mkono wako wa kuume umejazwa na haki. 11Mlima Sayuni unashangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako. 12Tembeeni katika Sayuni, uzungukeni mji, hesabuni minara yake;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.