Native Bible

Psalms 48:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mlima Sayuni unashangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako.

Psalms 48:11 in English

Psalms 48:11 · Berean Standard Bible

Mount Zion is glad, the daughters * of Judah rejoice, on account of Your judgments.

Context

9Ee Mungu, hekaluni mwako tunatafakari upendo wako usiokoma. 10Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, mkono wako wa kuume umejazwa na haki. 11Mlima Sayuni unashangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako. 12Tembeeni katika Sayuni, uzungukeni mji, hesabuni minara yake; 13yatafakarini vyema maboma yake, angalieni ngome zake, ili mpate kusimulia habari zake kwa kizazi kijacho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.