Zaburi 48:13
Psalms 48:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
yatafakarini vyema maboma yake, angalieni ngome zake, ili mpate kusimulia habari zake kwa kizazi kijacho.
Psalms 48:13 in English
Psalms 48:13 · Berean Standard Bible
consider her ramparts, tour her citadels, that you may tell the next generation.
Context
11Mlima Sayuni unashangilia,
vijiji vya Yuda vinafurahi
kwa sababu ya hukumu zako. 12Tembeeni katika Sayuni,
uzungukeni mji,
hesabuni minara yake; 13yatafakarini vyema maboma yake,
angalieni ngome zake,
ili mpate kusimulia habari zake
kwa kizazi kijacho. 14Kwa kuwa huyu Mungu ni Mungu wetu milele na milele;
atakuwa kiongozi wetu hata mwisho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.