Native Bible

Psalms 48:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa huyu Mungu ni Mungu wetu milele na milele; atakuwa kiongozi wetu hata mwisho.

Psalms 48:14 in English

Psalms 48:14 · Berean Standard Bible

For this God is our God forever and ever; He will be our guide even till death.*

Context

12Tembeeni katika Sayuni, uzungukeni mji, hesabuni minara yake; 13yatafakarini vyema maboma yake, angalieni ngome zake, ili mpate kusimulia habari zake kwa kizazi kijacho. 14Kwa kuwa huyu Mungu ni Mungu wetu milele na milele; atakuwa kiongozi wetu hata mwisho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.