Zaburi 48:9
Psalms 48:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, hekaluni mwako tunatafakari upendo wako usiokoma.
Psalms 48:9 in English
Psalms 48:9 · Berean Standard Bible
Within Your temple, O God, we contemplate Your loving devotion.
Context
7Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi
zilizovunjwa na upepo wa mashariki. 8Kama tulivyokuwa tumesikia,
ndivyo tulivyoona
katika mji wa Bwana Mwenye Nguvu Zote,
katika mji wa Mungu wetu:
Mungu ataufanya uwe salama milele. 9Ee Mungu, hekaluni mwako
tunatafakari upendo wako usiokoma. 10Ee Mungu, kama jina lako lilivyo,
sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia,
mkono wako wa kuume umejazwa na haki. 11Mlima Sayuni unashangilia,
vijiji vya Yuda vinafurahi
kwa sababu ya hukumu zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.