Native Bible

Psalms 45:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu, jivike fahari na utukufu.

Psalms 45:3 in English

Psalms 45:3 · Berean Standard Bible

Strap your sword at your side, O mighty warrior; appear in your majesty and splendor.

Context

1Moyo wangu umesisimuliwa na jambo jema ninapomsimulia mfalme mabeti yangu; ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi stadi. 2Wewe ni bora kuliko watu wengine wote na midomo yako imepakwa neema, kwa kuwa Mungu amekubariki milele. 3Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu, jivike fahari na utukufu. 4Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi, kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki, mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha. 5Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme, mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.