Zaburi 45:5
Psalms 45:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme, mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako.
Psalms 45:5 in English
Psalms 45:5 · Berean Standard Bible
Your arrows pierce the hearts of the king’s foes; the nations fall beneath your feet.
Context
3Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu,
jivike fahari na utukufu. 4Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi,
kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki,
mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha. 5Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme,
mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako. 6Ee Mungu, kiti chako cha enzi
kitadumu milele na milele,
fimbo ya utawala wa haki
itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako. 7Unaipenda haki na kuchukia uovu;
kwa hiyo Mungu, Mungu wako,
amekuweka juu ya wenzako,
kwa kukupaka mafuta ya furaha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.