Native Bible

Psalms 45:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi, kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki, mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha.

Psalms 45:4 in English

Psalms 45:4 · Berean Standard Bible

In your splendor ride forth in victory on behalf of truth and humility and justice; may your right hand show your awesome deeds.

Context

2Wewe ni bora kuliko watu wengine wote na midomo yako imepakwa neema, kwa kuwa Mungu amekubariki milele. 3Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu, jivike fahari na utukufu. 4Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi, kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki, mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha. 5Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme, mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako. 6Ee Mungu, kiti chako cha enzi kitadumu milele na milele, fimbo ya utawala wa haki itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.