Zaburi 45:2
Psalms 45:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wewe ni bora kuliko watu wengine wote na midomo yako imepakwa neema, kwa kuwa Mungu amekubariki milele.
Psalms 45:2 in English
Psalms 45:2 · Berean Standard Bible
You are the most handsome of men; grace has anointed your lips, since God has blessed you forever.
Context
1Moyo wangu umesisimuliwa na jambo jema
ninapomsimulia mfalme mabeti yangu;
ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi stadi. 2Wewe ni bora kuliko watu wengine wote
na midomo yako imepakwa neema,
kwa kuwa Mungu amekubariki milele. 3Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu,
jivike fahari na utukufu. 4Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi,
kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki,
mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.