Native Bible

Psalms 45:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wangu umesisimuliwa na jambo jema ninapomsimulia mfalme mabeti yangu; ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi stadi.

Psalms 45:1 in English

Psalms 45:1 · Berean Standard Bible

My heart is stirred by a noble theme as I recite my verses to the king;* my tongue is the pen of a skillful writer.

Context

1Moyo wangu umesisimuliwa na jambo jema ninapomsimulia mfalme mabeti yangu; ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi stadi. 2Wewe ni bora kuliko watu wengine wote na midomo yako imepakwa neema, kwa kuwa Mungu amekubariki milele. 3Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu, jivike fahari na utukufu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.