Native Bible

Psalms 40:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale waniambiao, “Aha! Aha!” wafadhaishwe na iwe aibu yao.

Psalms 40:15 in English

Psalms 40:15 · Berean Standard Bible

May those who say to me, “Aha, aha!” be appalled at their own shame.

Context

13Ee Bwana, uwe radhi kuniokoa; Ee Bwana, njoo hima unisaidie. 14Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, warudishwe nyuma kwa aibu. 15Wale waniambiao, “Aha! Aha!” wafadhaishwe na iwe aibu yao. 16Lakini wote wakutafutao washangilie na kukufurahia, wale wapendao wokovu wako siku zote waseme, “Bwana atukuzwe!” 17Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Bwana na anifikirie. Wewe ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu; Ee Mungu wangu, usikawie.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.