Native Bible

Psalms 40:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, warudishwe nyuma kwa aibu.

Psalms 40:14 in English

Psalms 40:14 · Berean Standard Bible

May those who seek my life be ashamed and confounded; may those who wish me harm be repelled and humiliated.

Context

12Kwa maana taabu zisizo na hesabu zimenizunguka, dhambi zangu zimenikamata, hata nisiweze kuona. Zimekuwa nyingi kuliko nywele za kichwa changu, nao moyo unazimia ndani yangu. 13Ee Bwana, uwe radhi kuniokoa; Ee Bwana, njoo hima unisaidie. 14Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, warudishwe nyuma kwa aibu. 15Wale waniambiao, “Aha! Aha!” wafadhaishwe na iwe aibu yao. 16Lakini wote wakutafutao washangilie na kukufurahia, wale wapendao wokovu wako siku zote waseme, “Bwana atukuzwe!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.