Zaburi 40:16
Psalms 40:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini wote wakutafutao washangilie na kukufurahia, wale wapendao wokovu wako siku zote waseme, “Bwana atukuzwe!”
Psalms 40:16 in English
Psalms 40:16 · Berean Standard Bible
May all who seek You rejoice and be glad in You; may those who love Your salvation always say, “The LORD be magnified!”
Context
14Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu,
waaibishwe na kufadhaishwa;
wote wanaotamani kuangamizwa kwangu,
warudishwe nyuma kwa aibu. 15Wale waniambiao, “Aha! Aha!”
wafadhaishwe na iwe aibu yao. 16Lakini wote wakutafutao
washangilie na kukufurahia,
wale wapendao wokovu wako siku zote waseme,
“Bwana atukuzwe!” 17Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji;
Bwana na anifikirie.
Wewe ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu;
Ee Mungu wangu, usikawie.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.